Uchaguzi 2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

Umemuona Magufuli live Iringa leo?? yaani we acha tu, hapatoshi, we kaa ni chizi wenu Lissu anazunguka na mamisukule yake akidhani atachaguliwa kuwa Rais
Tumeona jana malori na mabasi yakijaza sana kutoka wilaya za huku na huko. Ilibdi akusanye watu kwanza for 5days
 
Tumeona jana malori na mabasi yakijaza sana kutoka wilaya za huku na huko. Ilibdi akusanye watu kwanza for 5days
Huo ni msemo wenu misukule hautupi shida, nilidhani unasema wametoka Malawi!!?
 
hata ukianza kumsikiliza unavutiwa na hoja zake tofauti na uyo mwengine unaweza ukaanza kuona aibu wewe badala ya muongeaji....ni heli ata umsikilize yule wa ubwabwa na kuku kidogo utaongeza siku za kuwepo uhaini
 
They proved their midget upstairs that's why they opted gunning him as a short cut but nature n God proved them Short cut is always a wrong cut // njia ya kumuua ilishindwa na Mungu sembuse mahakama na sheria za kifedhuli?
Short cut is always long.
 
Lissu mnafiki mkubwa huyu, limevaa kanzu huku linachuki kubwa na waislam
Shekh Sharif hamad Hana nongwa na Lissu shekh ponda ni rafiki mkubwa wa Lissu wewe unnyonimous wa jf ndio unauona uadui wa Lissu na waislamu.
 
Nisawa kabisa kauli hii si mpya maskioni mwetu, hivyo hata mtakae mleta tena 2025 atakua bora kuwahi kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…