Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Ndugu ushapata kikombe? Kama shughuli zimekubana;Tuma neno KIKOMBE LOLIONDO kwenda *000# ili uletewa kikombe hapo ulipo. Huduma hii ni kwa lengo la kupunguza msongamano kwa Mch. na kuhakikisha kila Mtanzania anapata matibabu. Huduma hii haitotozwa kodi yoyote.VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA. Ambilikile full uponyaji..