round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Utakifa maskini wewe 🤣🤣🤣 hutaki kuendesha range rover au kupiga threesome nda i ya private jet 40000ft angani 😜Utajiri una Mambo magumu sana
Ndo maana sisi tunaomtegemea MUNGU watu hutuona wajinga
Ila sisi bado tunaendelea kutumainia kwa YESU KRISTO hadi mwisho
Umasikin mbaya ndugu yanguUtakifa maskini wewe 🤣🤣🤣 hutaki kuendesha range rover au kupiga threesome nda i ya private jet 40000ft angani 😜
Motivation speakers watu wanapenda kuwasikiliza kuliko kupata elimu yenyewe ya ujasiriamaliMatajiri wengi husema wamefanya kazi kwa bidii waulize hiyo bidii ni nini ndo utachoka 😀
Kwa nini unawauliza? Maisha yao yanakuhusu nini?Matajiri wengi husema wamefanya kazi kwa bidii waulize hiyo bidii ni nini ndo utachoka 😀
50 zangu ni pamoja na kutafuta info bwasheeKwa nini unawauliza? Maisha yao yanakuhusu nini?
Kaa na hamsini zako mkuu.