Dhambi itawahi kufika mbinguni mkuuUtakifa maskini wewe 🤣🤣🤣 hutaki kuendesha range rover au kupiga threesome nda i ya private jet 40000ft angani 😜
Mkuu hii siyo kwaajili ya kila mmoja.Izo business huwa nazisaka sana but unfortunately sijawahi kupata hint ya wapi pa kuanzia wala kumalizia. Maisha ndo hayahaya
Mkuu ukinikonnect nao utakua umecheza kama Pele, izi business za halali tozo zinatia kichefuchefuMkuu hii siyo kwaajili ya kila mmoja.
Ninao wanangu wawili ndio deal zao. Karibu kila wiki wao wapo angani tu
Mkuu shida sio kukuconnect nao, issu ni wamiliki wa hizo deal. Hao jamaa zangu wao wanafanyishwa tu na manyangumi. Ila mkwanja walionao ni kwereMkuu ukinikonnect nao utakua umecheza kama Pele, izi business za halali tozo zinatia kichefuchefu
Nae atajaa tu siku mojaNamhurumia chiefgodlove
HahahaBana umaskin mbaya wapo sawa tu