Ndugu wa Agness Masogange wamsubiri mahakamani bila mafanikio

Utingo alikuwepo au nae kamuiga Lulu... Kukacha!
 
Masogange apewe kesi yake ile ya kupitisha mzigo kilo 200 JKNIA na kukamatwa OT SA.
 
Kina lulu sasa kushinda gym wakifanya squart sijui wanagonoka mwisho wahare kusaka makalio....
Hakunaga kalio linakuja kiivo
 
Kusema ukweli aliyeturoga sisi Watanzania alaaniwe

Yaani akili zetu zimegoma kufikiria mambo mengine.....kila jambo tunalinasibisha na mambo ya kipuuzi...........
utaturaumu tu bure hakuna vision wala mkakati kilicho baki ni kuvuana tu
 
Mpiga picha watu tulitaka kufananisha sura, umewafanya wafananishe vingine sasa, hizi dhambi zote unazibeba wewe
 
Hii unaambiwa no OG siyo ya mchina kama wengi wanavyodhani ni kitu NATURAL

picha ya ndugu wamasogange kama walivyonaswa na camera walipoenda kumtembelea post.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…