Ndugu wa Agness Masogange wamsubiri mahakamani bila mafanikio

Kwahiyo hawa mungu Wa darisalama hawezi kuwatamsni coz ni ndg wa yule
 
Eeeh [emoji102] [emoji102] wa pili kutoka kulia jamani km lile basi la mwendo kasi ambalo km limefungwa mpira katikati!!!!!
 
Mwenye ki bag ndio size yangu kabisa . Nafaa
 
Wanaume wengi ni wagonjwa, na aliyewaroga ni wao wenyewe.
 
Huyo wa pili kushoto aliyemshika mwenzie kiuno inaelekea ndo mamake kwa kulinganisha tuu
 
unashangaa mjukuu wa kiume ndiyo anapata msambwanda. be careful what you wish for.
Lengo langu si litakuwa limetimia sijali atapata nani !si unaona hapo ukoo uko karibu karibu kuna bibi au mjukuu hapo ? Wote mama mtoto usinikatishe tamaa wacha nitimize malengo na sio kunikatisha tamaa#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…