Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao kinyume na taratibu huku akitangaza kuwa marehemu alikuwa anaugua ugonjwa wa UKIMWI wa kurogwa.

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamesema kuwa marehemu amekufa kwa Malaria na UTI na magonjwa hayo yameanza kumsumbua tangu Ijumaa ya wiki iliyopita baada ya kuwasili kutoka Singida alikoenda kwenye show.
 
Kifo cha Sam wa ukweli kinanitatanisha sana hasa kwa hizi media kupiga nyimbo zake baada ya kufa wakati alivyokuwa hai tulikuwa hatusikii kama sio unafiki ni nini?
Sasa kaka unataka nyimbo zipigwe tu hata kama mbaya sam miaka ya hivi karibun mziki wake ulikuw umeshuka ngoma ikiwa kali lazima ipigwe tu ndo mana utaona ngoma yake ya sina raha ilipigwa kila media na kila mtanzania aliijua sababu ilikuw nzuri media zimeonyesha mchango mkubwa kwa sam kujulikana
 
Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao kinyume na taratibu huku akitangaza kuwa marehemu alikuwa anaugua ugonjwa wa UKIMWI wa kurogwa.

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamesema kuwa marehemu amekufa kwa Malaria na UTI na magonjwa hayo yameanza kumsumbua tangu Ijumaa ya wiki iliyopita baada ya kuwasili kutoka Singida alikoenda kwenye show.

Malaria na UTI aisee bongo bongo tu
 
Back
Top Bottom