Shida kweli kweliMaisha Bila unafki hayaendi Mkuu......
Ukimwi utaendelea kutuua wabongo kwa vile tunaona ni taboo
Sasa kaka unataka nyimbo zipigwe tu hata kama mbaya sam miaka ya hivi karibun mziki wake ulikuw umeshuka ngoma ikiwa kali lazima ipigwe tu ndo mana utaona ngoma yake ya sina raha ilipigwa kila media na kila mtanzania aliijua sababu ilikuw nzuri media zimeonyesha mchango mkubwa kwa sam kujulikanaKifo cha Sam wa ukweli kinanitatanisha sana hasa kwa hizi media kupiga nyimbo zake baada ya kufa wakati alivyokuwa hai tulikuwa hatusikii kama sio unafiki ni nini?
Wanavyodai unakuwa una Dalili zote lakini ukapimwa unaonekana mzima.
Ni sayansi ya Afrika hiyo a.k.a shithole countries!![emoji4][emoji4][emoji4]UKIMWI wa kurogwa ndo ukoje huo?
Umemaliza kila kitu mrembo.....Maisha Bila unafki hayaendi Mkuu......
Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao kinyume na taratibu huku akitangaza kuwa marehemu alikuwa anaugua ugonjwa wa UKIMWI wa kurogwa.
Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamesema kuwa marehemu amekufa kwa Malaria na UTI na magonjwa hayo yameanza kumsumbua tangu Ijumaa ya wiki iliyopita baada ya kuwasili kutoka Singida alikoenda kwenye show.
Ukimwi wa pampas mkuuUKIMWI wa kurogwa ndo ukoje huo?