Ndugu wadau mimi ni mgeni humu nina siku mbili naombeni nasaha zenu tufahamiane

Ndugu wadau mimi ni mgeni humu nina siku mbili naombeni nasaha zenu tufahamiane

Krbu sn huku hakuna kuulizana ulizana maswal ila km vp tuma pcha km ww ni ke
 
Tunaomba tukufahamu kwanza wewe Mkuu... Tupia picha
 
Karibu sana. Pita mpaka jukwaa lolote uanze changia mada free kabisa hakuna malipo
 
duuuh, naona uko open sana humu.
 
Karibu sana ila uchochezi huku toka tumebadilisha mkulu ni mwiko.
 
Back
Top Bottom