Ndugu wadau nahitaji kujua maneno haya: Kamari na bahati nasibu

Ndugu wadau nahitaji kujua maneno haya: Kamari na bahati nasibu

qaxemvule

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
231
Reaction score
120
Kama nilivyouliza hapo juu
Je?. Maneno haya ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti Kama kitu kimoja nini umoja wake.
Kama vitu viwili nini utofauti wake
Naombeni kufahamishwa .
 
Kamari haramu. Bahati nasibu ni kamari iliyohararishwa.
 
Ni sawa maana yote ni uwe tayari kukosa au kupate
 
Back
Top Bottom