Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za kitaalam zilizopelekea kifo cha mpendwa wao ikiwemo kufanyiwa upasuaji bila ya wao kupewa taarifa.


View: https://www.facebook.com/share/v/1H5LoVXpbW/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
-------------------------------------------
Mpaka ndugu wanaamua kufanya hivyo basi uongozi wa hospitali mmefeli sana, jibuni hoja na maswali ya wanandugu ndipo mambo mengine yaendelee.
 
Back
Top Bottom