OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 11, 2022 #1 Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
Lim Hoo JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 438 Reaction score 1,031 Mar 11, 2022 #2 OKW BOBAN SUNZU said: Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno Click to expand... Ngoja niwahi siti ya mwanzoni make Mimi mwenyewe naihitaji
OKW BOBAN SUNZU said: Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno Click to expand... Ngoja niwahi siti ya mwanzoni make Mimi mwenyewe naihitaji
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 11, 2022 Thread starter #3 Lim Hoo said: Ngoja niwahi siti ya mwanzoni make Mimi mwenyewe naihitaji Click to expand... Tusubiri wadau,umeshaulizia wapi na wapi mkuu?
Lim Hoo said: Ngoja niwahi siti ya mwanzoni make Mimi mwenyewe naihitaji Click to expand... Tusubiri wadau,umeshaulizia wapi na wapi mkuu?
mr Driver Member Joined Jan 6, 2023 Posts 9 Reaction score 2 Jan 8, 2023 #4 OKW BOBAN SUNZU said: Tusubiri wadau,umeshaulizia wapi na wapi mkuu? Click to expand... ninayo KUBOTA DC-60
OKW BOBAN SUNZU said: Tusubiri wadau,umeshaulizia wapi na wapi mkuu? Click to expand... ninayo KUBOTA DC-60
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jan 8, 2023 Thread starter #5 mr Driver said: ninayo KUBOTA DC-60View attachment 2472988View attachment 2472989View attachment 2472990 Click to expand... Asante mkuu. Ila tu tunaulizia mashine simple hata kwa mashamba ya kawaida. Hiyo sio combined?
mr Driver said: ninayo KUBOTA DC-60View attachment 2472988View attachment 2472989View attachment 2472990 Click to expand... Asante mkuu. Ila tu tunaulizia mashine simple hata kwa mashamba ya kawaida. Hiyo sio combined?