Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv kuna vyuo mtu anamaliza hajui kutumia computer?Duu hatari yaani unakuta mtu maswali anajua ila ajui kutumia computer
Mwanasheria asingekuw anashindwa kesi lknNinyi ndiyo walimu halafu mnatanguliza hofu?Kwani kompyuta ina tofauti ipi kubwa na smartphone?Walimu wa kileo mna vibweka sana.
The two different cases.Usome ualimu miaka miwili/mitatu halafu haujui kuwasha,kutumia abc zake chache,kuprint,kucheza hata games na kuizima tu?Holy mackerel!Na zaidi mtaulizwa kompyuta ni nini?Au kazi ya mouse ni nini?Au utofautishe deski kompyuta na ile mpakato.Nayo utashindwa?Mfe tu sasa!Mwanasheria asingekuw anashindwa kesi lkn
Kuna neno linaitwa mtihani, interview na especially wabongo hatuna confidence, acha wajiandae walimubThe two different cases.Usome ualimu miaka miwili/mitatu halafu haujui kuwasha,kutumia abc zake chache,kuprint,kucheza hata games na kuizima tu?Holy mackerel!Na zaidi mtaulizwa kompyuta ni nini?Au kazi ya mouse ni nini?Au utofautishe deski kompyuta na ile mpakato.Nayo utashindwa?Mfe tu sasa!
Sasa Walimu chuo mlikuwa mnafanya nini?Duu hatari yaani unakuta mtu maswali anajua ila ajui kutumia computer
Kujua kutumia computer ni muhimu bhana kama hujui kushika kasa si unaweza ku close tab ba ukasubmit mtihani bila kujua? 😂😂😂😂😂Mthani wa online hata kama hujawahi kutumia computer unafanya maana unaendeshwa na maIT kazi yako ni kuclik jibu na kuendelea hakuna reverse maswali yakiisha ndo umemaliza hivyo! Kwa hiyo msitishwe!