Ndugu walivyochangia matatizo ya Pogba na Mwakinyo

Kaka Yake na ndugu zake Wa familia moja ndio Wanaomjua Vizuri zaidi Mwakinyo Kuliko Sisi huku Mitandaoni....!

Sasa Wakimwambia Ukweli kuwa Kazingua,Sisi ni nani tumtetee?

Huyu Kazingua tu, Aombe radhi wadau wa Ndondi...!
 
Ukimsikiliza anavyo ongea unajua huyu jamaa kuna kitu hakipo sawa hata kama boxing ni mchezo wa majigambo yake sio majigambo ni dharau na kiburi
 
Hii ya Pogba inasikitisha sana jamaa alikuwa anaonekana anawajali sana ndugu zake na mara nyingi unawaonea wako pamoja akiwemo mama Yao Wana furaha kabisa sijui hata nini kiliwakumba.
 
Hii ya Pogba inasikitisha sana jamaa alikuwa anaonekana anawajali sana ndugu zake na mara nyingi unawaonea wako pamoja akiwemo mama Yao Wana furaha kabisa sijui hata nini kiliwakumba.
So sad
 
Huna lolote zaidi ya chuki tu na njaa vinakusumbua.
Tafuta pesa, ili usiwe na chuki.
 
Huna lolote zaidi ya chuki tu na njaa vinakusumbua.
Tafuta pesa, ili usiwe na chuki.
Sijaona chuki hapo, nyie mnao mpenda huyo bondia jichangisheni pesa ya kulipa fidia maana tayari ana msala wa 580M
 
Kama una ndugu wanaojielewa shukuru Mungu, hujawahi ona ndugu mwenye pesa ndugu zake wanafurahia yeye kutopata watoto ili watoto wao wafaidike ni hizo pesa??? Wewe tulia hapa kuna Baba analia na ndugu kawawezesha lakini hawakubebeka mmoja kamsomesha mpaka master lakini sahizi yeye hana kitu ndugu zake wote wanamuona mjinga tu hakuna wakumpa hata kumi

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hajui huyu labda kama nayeye ni mmoja wa ndugu wadwanzi

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ila Mwakinyo hata kabla ya hili sekeseke lake la juzi inaonesha ni very arrogant.

Atapoteza wadau muhimu wengi sana,hilo pambano lake la Zanzibar sidhani kama lilikuwa na udhamini wa Azam Tv ambao ni wadau wakubwa mno kwa sasa nchini.

Hivi ni Visingizio..... ! Kwa Lugha ya 'Malkia' inaitwa 'Excuses'....

Mwakinyo ajitokeze Aombe radhi Wapenzi wa Masumbwi nchini na aombe apunguziwe adhabu....! Kaleta Utoto
Kutokwenda shule ni tatizo kubwa sana abgeenda shule asingefanya upuuz alofanya, huwez kuona mtu kama Tyson anafanya hivyo.
 
Hii ya Pogba inasikitisha sana jamaa alikuwa anaonekana anawajali sana ndugu zake na mara nyingi unawaonea wako pamoja akiwemo mama Yao Wana furaha kabisa sijui hata nini kiliwakumba.
Mathias pogba ndio alianzisha vita baada ya kutofautiana kimaslahi na mdogo wake.
 
Waafrika tuna roho ya wivu, chuki na husda.... Hata hapa bongo ukifanikiwa utachukiwa bila sababu ya msingi...
Reference....
Diamond platinumz
Samattta
Mwakinyo
Karia
 
Hivi ni Visingizio..... ! Kwa Lugha ya 'Malkia' inaitwa 'Excuses'....

Mwakinyo ajitokeze Aombe radhi Wapenzi wa Masumbwi nchini na aombe apunguziwe adhabu....! Kaleta Utoto
At least umeona hii issue in the big picture. Kitendo Cha Makinyo kukataa kupigana kimeondoa amsha amsha na ni vigumu kurudisha mashabiki wake! Ameonesha elimu ni muhimu sana kwenye maisha, hata kama kulikuwa na figisu alipaswa kupigana Ili kulinda msisimko then aka deal na waliomfanyia uhuni nje ya ulingo, ni kawaida watu wasio na elimu kuhakikisha wanashinda vita bila kuona bigger picture! Mtu asiesoma hukosa kitu muhimu "reasoning"

Mi nikiwa meneja wa Makinyo atapigana na hata Mayweather katika commercial fight na kujaza mpunga ambayo ndio lengo lake. Namkumbusha Mwakinyo aulizie stori ya jamaa wa Makorora anaitwa Issa, ni marehemu, huyo ndie alianzisha masumbwi community center Tangamano Tanga miaka ya 1988 na alikuwa na tabia ya kipekee! Alikuwa na hekima sana, he was loved by everyone!
 
Mwakinyo alikua ananyaaa nakumbuka kabisa bwana mdogo akiwa na punda wakati mwingine anatembeza dagaa mtaaani jamaa amesema kweli kabisa, sio mbaya ni historia tu lakini kingine yule dogo alikua kibri vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…