Ndugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?
Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,
Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!! [emoji848]
#RestInPeace