Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,514
- 768
Wana Jf nimepangiwa chuo cha st. Joseph kilichopo songea ila kwa sababu zilizonje ya uwezo wangu na familia yangu sitaweza kujiunga nacho kwa sasa mpaka mwakan Mungu akijalia. Nichukue hatua gani kusitisha mkopo niliopata mbali na kufika kule Songea mimi nipo moshi. Asante