Wana Jf nimepangiwa chuo cha st. Joseph kilichopo songea ila kwa sababu zilizonje ya uwezo wangu na familia yangu sitaweza kujiunga nacho kwa sasa mpaka mwakan Mungu akijalia. Nichukue hatua gani kusitisha mkopo niliopata mbali na kufika kule Songea mimi nipo moshi. Asante
Nenda chuoni usijidanganye kawaambie umehairisha masomo alafu wao watatuma taarifa TCU na loan board be care boom unaweza kuwa unalisikia tu bcoz sio inshu ya ktoto weng wamekosa na wanahamu ya kusoma

bro kisa cha kuhairisha mwaka ni pamoja na ishu za bum nimepata bum halifiki hata 10% na ada ni 2.75M tatizo ni kufunga safar mpaka songea na kurud naul bei ghali sana hivyo nilikuwa natafuta njia mbadala