Raha ya mafanikio ndugu zako wa enjoy nao !!sasa una hela kiroba baba yako au mdogo wako anapiga mihayo tu aiii uchawi huo!!saidia usitegeme returne yoyote utaishi peaceful life.
Sijui umemuelewa mtoa mada swala sio kumnyima swala ni unajinyima unampa akitunzie visenti vyako ili ufanyie kitu flani lakin mwisho wa siku anazitumia zote.