uhaale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 303
- 153
Ndugu wanajamvi naomba tujuzane aina nzuri za oil ya magari hasa madogo ya petrol. Mara nyingi sana hawa mafundi wetu hawako kama wanajua sana, unaweza kumuuliza fundi oil hii ni ya km ngapi lakini hana jibu. je tunawezaje kujua oil fulani inatumika kwa km ngapi? vilevile nasikia kama gari imetembea zaidi ya km 150000 inatakiwa iwekwe oil kulingana na gine je ni kweli? tupeane somo wataalam wa magari.