Tumia total 5w 30 synthetic...ni nzuri sanaNdugu wanajamvi naomba tujuzane aina nzuri za oil ya magari hasa madogo ya petrol. Mara nyingi sana hawa mafundi wetu hawako kama wanajua sana, unaweza kumuuliza fundi oil hii ni ya km ngapi lakini hana jibu. je tunawezaje kujua oil fulani inatumika kwa km ngapi? vilevile nasikia kama gari imetembea zaidi ya km 150000 inatakiwa iwekwe oil kulingana na gine je ni kweli? tupeane somo wataalam wa magari.
Tumia total 5w 30 synthetic...ni nzuri sana
Ndugu wanajamvi naomba tujuzane aina nzuri za oil ya magari hasa madogo ya petrol. Mara nyingi sana hawa mafundi wetu hawako kama wanajua sana, unaweza kumuuliza fundi oil hii ni ya km ngapi lakini hana jibu. je tunawezaje kujua oil fulani inatumika kwa km ngapi? vilevile nasikia kama gari imetembea zaidi ya km 150000 inatakiwa iwekwe oil kulingana na gine je ni kweli? tupeane somo wataalam wa magari.
Mkuu nimekuelewa gari yangu toyota succeed engine 1NZ-FE VVTI cc 1500, manual book yake imeandikwa kijapani nimejaribu kutafuta ya kiingereza sijafanikiwa kuipata.Oil zipo nyingi,ili upate perfomance nzuri ya gari na kuimantain engine,lazima uweke oil kutokana na specification za gari/engine
Chek kama gari yako ina kitabu ineandikwa au search workshop manual.
Vile vile oil hubadilishwa kutokana na km gari iliyotembea na muda tangu uibadili.
Sawa sawaOil zipo nyingi,ili upate perfomance nzuri ya gari na kuimantain engine,lazima uweke oil kutokana na specification za gari/engine
Chek kama gari yako ina kitabu ineandikwa au search workshop manual.
Vile vile oil hubadilishwa kutokana na km gari iliyotembea na muda tangu uibadili.
Sawa mkuu.Jitahidi kubadilisha kila baada ya km 3000 hapo utakuwa unaipa engine uwezo wa kudumu zaidi lakini ukisubiri km 5000 ndipo ubadilishe oil sidhani kama utakuwa unaitendea haki engine,kwa magari ya TOYOTA usikubali kupitisha km 3000 lakini ukisema eti oil nzuri hapo utakuwa unajichanga
Mimi sidhani kama hizi brands za oil zina matatizo makubwa tatizo kubwa ni uchakachuaji wa hizi oil.
Mimi sidhani kama hizi brands za oil zina matatizo makubwa tatizo kubwa ni uchakachuaji wa hizi oil.
Umenena vizuri mkuu, ni wajibu wetu sisi wamiliki wa magari kuwa na elimu hiyo japo kidogo sio kila kitu tunamuachia fundi ambaye nae hajui chochote.Aina bora kabisa ya engine oil iwe na sifa zifuatazo :
1) Iwe Multigrade yaani (5,10,15)w 30 au (5,10,15)w 40 kutegemeana na gari yako.
2) Iwe brand kubwa kama
a) SHELL
b) TOTAL
c) CASTROL
d) BP
e) VALVOLINE
f) FUCHS
3) API yake iwe SN au ukikosa basi hata SM
4) Ikiwa fully Synthetic itakuwa bora sana.
5) Nunua kutoka katika vyanzo vya uhakika.
Kweli..For sure kwangu mimi kulingana na manual ya gari yangu this is the best