JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mhusika katika picha anaitwa PROSPER MHINA KWINGWA. Mkazi wa Karakata airport Dar salaam , ana matatizo ya afya ya akili.Hajaonekana nyumbani tangu tarehe 25/02/2025 .Taarifa imetolewa Polisi . tafadhali wasiliana na kituo cha polisi cha karibu au kwa ndugu kupitia namba zifuatazo 0754210337 au 0715253690 au 0653482165