tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kwani kuna binadamu yeyote aliyewahi kufa akiwa marehemu? Ili ufe lazima uwe mzima.... Eboh!Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.
View attachment 3434894
Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu
Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za kkwahiyoaribuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.
Chanzo: Jambo tv
We kama inakuuma si useme nà wanaume wako wa kutoa mbonaMnahojihoji kwahiyo mlitaka asife kwa maana aishi milele
Umecopy unapaste bila kusoma!!!??? Soma ulichopost uone mashudu uliyotuwekea!Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.
View attachment 3434894
Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu
Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.
Chanzo: Jambo tv
Ndio umeandika nini sasaWe kama inakuuma si useme nà wanaume wako wa kutoa mbona
Labda corona imerudi!!!Jana nimepigwa na mafua mpaka nikahisi ninerogwaKwahiyo mafua/Flu sio ugonjwa?
hujui kua Flu ni viral infection ambayo huathiri mpaka Lungs? huathiri respiratory system,
Flu inaweza kukuletea serious complications,kama vile Pneumonia na kuweza kusababisha kifo.
Shetani Hana RafikiWaombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.
View attachment 3434894
Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu
Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.
Chanzo: Jambo tv
Usisahau NdungulileYaleyale ya Membe
Anatufanya watanganyika hatuna akili. Yaani uwe na ngwegwe, sukari, pressure plus tatizo la figo useme alikuwa mzima tu.Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.
View attachment 3434894
Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu
Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.
Chanzo: Jambo tv
Anaumwa Figo mda mrefuuuu tuAnatufanya watanganyika hatuna akili. Yaani uwe na ngwegwe, sukari, pressure plus tatizo la figo useme alikuwa mzima tu.
Anyway kifo ni kifo tu.
Sasa njni kilimpeleka hospitali ?Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.
View attachment 3434894
Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu
Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.
Chanzo: Jambo tv
IpoLabda corona imerudi!!!Jana nimepigwa na mafua mpaka nikahisi ninerogwa