Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

Tumeshajadili sana imetosha, mambo ni mengi
Kilichobaki ni wenye mamlaka kuchukua hatua
 
Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
Huwa inajadiliwa bunge la baada ya bajeti hata mwaka Jana ilikua hivyo hivyo. Labda CAG awe anasubiri bajeti iishe ndio atoe ripoti yake Ili wakati ipo on fire ndio majadiliano nayo yaanze.

Lakini hii shida ya coordination ipo Kila mahala ndio usishangae Mama Samia kasign mkataba wa gesi wa trillion 60 alafu 2025 akiingia Rais mwingine akachana na gesi na bwawa la Nyerere aka focus kwenye umeme wa upepo!!

Hii nchi Ina vituko sana
 
Serikali inachagiza mechi za simba na yanga
 
Itajadiliwa na nani, wakati waliopo bungeni wako kwa kunajisi uchaguzi?
Ulikosa ubunge? Make wewe kilio chako ni hicho hicho tu. Fanya kazi zingine usijeolewa kijana
 
ITAJADILIWA NA KAMATI INAYOONGOZWA NA WABUNGE WASIO NA CHAMA hii ndio TANZANIA
 
Ukiachana na hii ya sasa, Report ipi ya CAG iliwahi kujadiliwa na kuleta jambo la maana?

zote za nyuma zilikuwa na matokeo ya kisasa

kuna report ililetwa kumpoteza Jairo asiwe Katibu Mkuu Kiongozi na matokeo yake akala Ombeni Sefue

Kuna nyingine ilimtosa Prof Muhongo n.k


kuna ile ya kumtoa Kakoko Bandarini n.k
 
Mkeo Kila siku anakuibia Hela unaporudi umelewa, anasachi suruwali, Leo utaweza kujadili ripoti ya CAG
 
Ya sasa inamlenga Mbarawa pekee.
 
Mamlaka hazina nia ya dhati ya kuwawajibisha wahusika.

Mjadala ufungwe tuendelee na kuibiana na kudhulumu watanzania rasilimali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…