S Sabi Sanda JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 409 Reaction score 31 Nov 14, 2009 #1 Tunaomba uchimbaji wa madini yetu yote usimame kuanzia siku ya kesho ya jumapili 15 11 2009. Kibanda ndugu yetu vipi leo imekuwaje.
Tunaomba uchimbaji wa madini yetu yote usimame kuanzia siku ya kesho ya jumapili 15 11 2009. Kibanda ndugu yetu vipi leo imekuwaje.
S Sabi Sanda JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 409 Reaction score 31 Nov 17, 2009 Thread starter #2 lini hasa mtasimamisha uchimbaji wa madini yetu???? Kwani yanazidi kwisha na hatuoni faida yake kama taifa.
lini hasa mtasimamisha uchimbaji wa madini yetu???? Kwani yanazidi kwisha na hatuoni faida yake kama taifa.