Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako.
Tujifunze na tuchukue tahadhari.
Hasa kwenye masuala ya helaMaisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako.
Tujifunze na tuchukue tahadhari.
Pesa kwenye betting zipo nyingi sanaKuna wakati unaiona pesa hii hapa nje nje, unaiachaje sasa kwa mfano? Jana yenyewe nilizingua nikapitiwa, ilikuwa nipige kama 200K.