LGE2024 Ndugu yangu alivyotapeliwa kununua matairi feki ya gari, kuweni makini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Lakini mtu hujalibiwa na tamaa zake mwenyewe...." huu mstari unahusu watu wote wanaotapeliwa majority ya watu wanaotapeliwa ni greedy ile urgue yao ya kutaka kuvunja sheria ndio inapelekea wao kupigwa
Na watu wengi husingizia madawa ila hapana ni ile kupiga hesabu na kuona unaokoa amount fulani na kutaka urahisi. Nilijifunza sana hii siku.
 
Yaani RRONDO na ujoka mmesema nilichotaka kusema.

Naaam hivyo ndivyo ilivyo, hakuna atakayedhani ndivyo sivyo. Wezi wacha waendelee kuibiana.

Kwenye game theory kuna kitu kinaitwa tit for tat ndio kilichotokea. Instant karma.
 
Ningekuwa ni mimi ningeweka wazi tu hakukuwa na haja ya kupindisha story. Ndio tamaa na kutokuwa na pesa ya kutosha kulifanya apoteze hata kidogo alichokuwa nacho!!!
Pamoja na hayo mkuu ila wewe pia ulikua nae huyo jamaa yako,
So,kwakiasi fulani hata wewe umehusika kutapeliwa coz wewe ulitakiwa umshtue kua hapo kuna mchezo.
 
Mlishindwa hata kusoma namba ya Bajaji? hii issue toka mwanzo ukiisoma inaonekana kabisa kua ilikua ni utapeli,hata namba ya simu ya huyo Dereva hamkutaka kuitumia ili mumpate?
Ukiangalia mazingira aliyotupeleka ilikuwa ngumu kucheck number za bajaji. Halafu angekuja eneo tulivu alijua umakini unaweza kuongezeka na pia mazingira ya yeye kukimbia yangekuwa magumu. Number ilikuwepo ila tulifuatilia ikaonekana gharama utayotumia kuwapata, na mkiwapata mtakuta hawana kitu heri kutafuta hela ufunge izo tairi mpya tu.
 
Pamoja na hayo mkuu ila wewe pia ulikua nae huyo jamaa yako,
So,kwakiasi fulani hata wewe umehusika kutapeliwa coz wewe ulitakiwa umshtue kua hapo kuna mchezo.
Nimehusika kwakweli laiti ningelijua ningekataa kuongozana naye maana hata mkewe (shemeji) aliona tumekuwa wazembe kupindukia!! Jamaa akawa na kazi ya kutafuta kodi then atafute pesa ya tairi so double cost.
 
Pamoja na hayo mkuu ila wewe pia ulikua nae huyo jamaa yako,
So,kwakiasi fulani hata wewe umehusika kutapeliwa coz wewe ulitakiwa umshtue kua hapo kuna mchezo.
Nimehusika kwakweli laifti ningelijua ningekataa kuongozana naye maana hata mkewe (shemeji) aliona tumekuwa wazembe kupindukia!! Jamaa akawa na kazi ya kutafuta kodi then atafute pesa ya tairi so double cost.
 
Tatizo kila mtu mwizi.

Ukikubali mali wizi nawe ni mwizi, onakaibiwa kiboya
 
Hahahaha hawa madogo walishanipiga pia, nikaweka post hapa nikachekwaaa
 
Mimi daslamu kitu cha dili sinunui hata iweje....... maana unaweza ukafanikiwa kununua ila baada ya hapo pira linakuja na mamwera unaitwa mwizi, au unakuta unanunua magumashi huku una rekodiwa alafu unaletewa ofisa wa tra umeisha
 
Yaani me niliishia kuanza kucheka mwenyewe kwanza na nikawa kama naona ndoto. Fikiria mchana then mko njemba mbili. πŸ˜€πŸ˜€
Mimi alinisumbua Sana ikabidi siku moja nikampigia simu aniletee hizo tairi, nikamtuma Boda, akachukue
 
Mkuu ata picha umeshindw kuambatanisha,
Ukiona BIASHARA unatengenezew ufanye kwa haraka haraka achan nayo [emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…