LGE2024 Ndugu yangu alivyotapeliwa kununua matairi feki ya gari, kuweni makini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa hiyo mkuu, wewe ulikuwa hujui chochote kinachoendelea hadi jamaa alipokuelezea mchongo mzima baada ya fundi kusema tairi hazifai? Maana vichwa viwili mmetapeliwa kirahisi sana
 
Kwa hiyo mkuu, wewe ulikuwa hujui chochote kinachoendelea hadi jamaa alipokuelezea mchongo mzima baada ya fundi kusema tairi hazifai? Maana vichwa viwili mmetapeliwa kirahisi sana
Mimi nilikuwa nishaambiwa tunaenda kuchukua matairi ila sikuwa na mzuka wa kwenda since nimeenda pia sikujihusisha sana sababu alikuwa ashapatana ma wauzaji!!! Me nilienda kutoa "kampani" ila ni kama tumetapeliwa sote ingawa pesa ni yake!!!!
 
Mkuu ata picha umeshindw kuambatanisha,
Ukiona BIASHARA unatengenezew ufanye kwa haraka haraka achan nayo [emoji851]
Matairi sikutaka hata kuyapiga picha ila ukiambiwa hayafai ni hivo hayafai. Nakusihi na wewe kuwa makini utapeli ni mwingi!!!
 
Kifupi mji wa Dar siupendi kwa vitu kama hivyo,tokea walivyoniliza simu pale kwenye mataa Ubungo nikaambulia kipande cha sabuni sina hamu kabisa na huu mji...
 
Kifupi mji wa Dar siupendi kwa vitu kama hivyo,tokea walivyoniliza simu pale kwenye mataa Ubungo nikaambulia kipande cha sabuni sina hamu kabisa na huu mji...
Pole aseee naishi karibu na hapo!!!
 
Oyaa uhakika ama ndo yale yale?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
175/80/16 Hizi zilikuja na gari huku bongo wanasema hakuna, nikaambiwa mbadala wake ni 205/75/16 zinaenda Kwa bei Gani? Na ni za kampuni gani
 
175/80/16 Hizi zilikuja na gari huku bongo wanasema hakuna, nikaambiwa mbadala wake ni 205/75/16 zinaenda Kwa bei Gani? Na ni za kampuni gani
Check Comment number 47 huyo jamaa amesema ni dealer kaweka number yake hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…