Ndugu yangu amepangwa kujiunga na shule ambayo aipo katika orodha ya shule za V

Babuu blessed

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
1,362
Reaction score
490
Habari wandugu ..
Mtoto wandugu yangu amepangiwa shule ya arusha girls sec school tumeitafuta katika orodha ya shule za serikali atujafanikiwa kuiona...nikahisi inaweza kuwa arusha sec kwa sababu mchepuo wake upo ni EGM lakini bado jina lake alija onekana katika orodha ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na arusha sec....ninaomba mwenye kuweza kunisahidia nini cha kufanya hapa...asanteni
 


Wasiliana na NECTA mapema sana,watakuelekeza namna ya kufanya
 
Subirini join instruction ndio itayoeleza shule inapatikana wap
 
Labda ipo somalia angalien list ya alshabab...!

dogo nenda jukwaa la jokes hapa sio sehemu yake! Halafu wakati mwingine behave onyesha kuwa umekuwa kiakili sio mara zote unajitoa akili ukizani upo na watoto wenzako.....idiot
 
Wasiliana na NECTA mapema sana,watakuelekeza namna ya kufanya

asante mkuu nimewasiliana na necta wameniambia join instruction itatumwa,na wameniambia kuna mkanganyiko umetokea wa typing error shule ndio yenyewe arusha secondary school. shukrani kwa ushauri mkuuu
 
Jamani kuna watu huwa wanaona mda wote niwa jokes mtu yupo serious anataka msaada then wewe wamltea masiala hebukuwa serious wewe LIGHTNESS JUNIOR
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…