Aisee,wewe ni KE lknsana 222222222222222222
sorry na wewe upo wapi kiongpziYupo dodoma
Ninao msaada wa kumshauri tuuna msaada gan juu yake
Msaada ninao mkubwa sanaa dats y nikataka kujua location yake kwanzauna msaada gan juu yake
Bila shaka huyo binti atakuwa alikuwa na chura!Chanzo tumekijua kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti flani...sasa huyo binti akamuacha
Sawa mkuu hali yake imebadilika ghafla tangu juzi hata simu hapokei ( hajitambui )
Aisee pole yake,Atakaa sawa, depression ni tatizo la akili,Sawa mkuu hali yake imebadilika ghafla tangu juzi hata simu hapokei ( hajitambui )
Mkuu pole sana. Nakufariji kwanza na usijali hiyo hali itakaa sawa wenyewe kwa mdogo wako huyo mimi nishapitia huko.Habar za mchana wakuu,
Ndugu yangu ( me) amepata msongo wa mawazo na tumejaribu kumsaidia kisaikolojia, alipata nafuu kwa muda, ila hali imejirudia tena.
Mbinu gani nitakazotumia aweze kujirudi katika hali yake ya kawaida.
hili tatizo limerudi leo ni siku ya tatu anakuwa mnyonge sana hajiamini na anapenda kukaa peke yake. Kabla ya ugonjwa alikuwa hana tabia ya kujitenga hivi.
Naombeni msaada wa kimawazo wakuu
Ni kweli mkuu mimi ilikuwa zaidi ya mwanamke,uchumi(sina kazi),familia nilipambana sana mwenyewe vilevi kwa wingi na mambo mengi ya ajabu ajabu ilifikia kipindi kila kukicha ni afadhali ya jana sikumbuki ilikuwaje ghafla nikaanza maombi ASANTE YESU na hali yangu ilibadilika sana ndani ya miezi 8Aisee pole yake,Atakaa sawa, depression ni tatizo la akili,
Hapo ni mazoea tu ndiyo yanamsumbua kwa sasa,
USHAURI:Akae na watu wake wa karibu pia kipindi hiki,km wazazi,marafiki nk,itamsahaulisha
Simu atakuja kuacha kutumia bila hata kuambiwa,hapo kuna vitu kama WhatsApp anafanyiwa na ex wake,so ndio inavyokuwaga,
kwa vitu kama simu dawa ni mazoezi,ataacha,kama anashughuli ya kufanya,aweke bidii,atasahau tu
kawaida Depression huwa inaweza chukua hata miaka2 kuisha,kama,inategemea na kitu kinachokupa unyonge huo,
mfano mmekaa kwenye mahusiano say miaka 15 au 20,alafu inatokea kitu kama hicho,hapo ndio inakuwaga ngumu kufuta memory,
Au umejenga nyumba yako kwa miaka 10,alafu unakuja ambiwa bomoa nyumba,inapita treni,pata picha msongo wake wa mawzo,
Ndugu yenu,kaeni nae karibu kipindi hiki,mpeni hata moral support,AFTER ALL,Wanawake wengi siku hizi.
Asante mkuuMkuu pole sana. Nakufariji kwanza na usijali hiyo hali itakaa sawa wenyewe kwa mdogo wako huyo mimi nishapitia huko.
Aisee nilipitia pia hali hiyo...Kama chanzo ni mapenzi,
Huyo hakuna tiba kwake, wala usijisumbue, hata apikiwe chakula anachopenda na mama yake mzazi, hazinduki!!!. Ila usiwe na wasiwasi, atapona tu. Mpeni muda wa mwezi mmoja au mwezi na nusu akae na kujitafakari kwa utulivu bila kumkera kera hovyo (mkimkera na kumsumbua sana mnamuongezea mawazo, na anaweza kufanya maamuzi mabaya zaidi).
Hua inatokea kwa sisi wanaume, katika hatua fulani ya maisha, pindi unapotokea kukamatwa maskio na mwanamke, hufurukuti wala huruki kwake, halafu akakuacha kwa ghafla/bila sababu maalum, ila baada ya muda yanasahaulika na maisha kuendelea mbele. Athari hua inakua kubwa kama HAUNA AJIRA ya kukufanya uwe bussy.
ILAAAAAA, kawaida mtu kama huyo akipona huo msongo wa mawazo ya mapenzi na kurudi katika hali yake ya kawaida, hua wanajiwekea KIAPO MAALUM cha kuwanyoosha wanawake, wanawake hua wanatikiwa wajiandae na wafunge mkanda kwa wanaume kama hao (mtaani kwenu watamkoma). Atakua kama jasusi lenye ROHO ya chuma, ni kuwapanga mstari na kugegeda halafu kusepa, NO LOVE STORY kwake. (Imeshanitokea mimi binafsi na rafiki yangu hio hali).
Duh pole sana mkuu, ila hongera kwa kuvuka mtihani huo, wengine hua hawavuki na wanaamua kurudisha namba kwa sir god.Aisee nilipitia pia hali hiyo...
Aje nimfundishe kunywa pombe na kununua vichwa ambiance
Hujakosea, alinitesa sana dada mmoja alitokea tabora sintosahau ila alinifunza na kunipa ujasiri kwa wanawakeKama chanzo ni mapenzi,