Miss un
Member
- Sep 23, 2018
- 11
- 6
Habari,
Madaktari na wakuu wa jukwaa hili nina ndugu yangu (22), kaolewa 2016 August ana tatizo la kubeba ujauzito na kuharibika, alibeba ujauzito kufikia miezi minne ukaharibika,akabeba tena miezi kadhaa hivyohivyo.
Lakini huu wa mwisho ulifikisha hadi miezi 9 ya kujifungua, lakini kajifungua mtoto mfu(kwamba kafa kabla hajajifungua) hiyo ikiwa ni mwaka jana october then kwa sasa hapati kabisa menstruation period.
Ameenda hospitali kapimwa ,hormorne, cancer, kizazi, mayai, kakutwa yuko normal, nauliza ndugu zangu wajuzi wa haya mambo,kwamba nn kinaweza kuwa chanzo cha tatizo au suluhisho lake ni nini?
Je kuna matumaini?
Natanguliza shukrani kwa michango yenu.