SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Mi huwa nawapaga visa ambavyo vimetokea either kwangu kwa familia yangu ili mjifunze
Mkiambiwa kunapoelekea mtakuja kukuta wanawake kumi wanabembeleza mwanaume mmoja awaowe wala msikatae ndio uhalisia kwa sasa waowaji wameshayeyuka
Huyu ni Dada yangu mtoto wa shangazi yangu aliyenilea tokea mdogo so tumekuwa wote namuona kama dada wa Damu kabisa, ni binti ambae kalelewa kwenye mazingira ya kiheshima na kidini pia na uzuri familia aliyotokea pesa ipo na yeye kwa sasa anafanya kazi kwenye taasisi kubwa zinazolipa vizuri sijataka kuisema kuepusha mengi
Sasa mwezi wa 6 mwaka jana akaleta taarifa za kupata mchumba basi ,Tukawakaribisha wakwe waje wajitambulishe na kuskiliza taratibu za mahari ili wakirudi tena iwe ni mahari vikao vianze chap maswala ya Ndoa jambo liishe
Siku wakwe wanakuja Tukaandaa sherehe utasema ndio ndoa yaani tuliwakaribisha kifalme hadi wakashangaa sababu sisi tunaona Binti kuolewa cha kwanza ni heshima na ni bahati na katika vitu ambavyo familia yetu inavipiga vita ni mabinti zetu kuzalishwa nyumbani au kuwa single mother yaani tunaonaga aibu ndio maana tukiskia mwnaamke kapata mwenza tunasema jambo la heri
Wakwe wakaja na yule kijana muowaji wakajitambulisha baada ya kuskiliza taratibu za mahari basi wakapokea utaratibu baada ya hapo wakasema watarudi kukamilisha ili Ndoa ifungwe mapema tukasema heri
Kumbe bwana nyuma ya pazia wakati Wakwe wanakuja binti tayari alikuwa mjamzito wa miezi miwili kimya kimya na hakuishirikisha familia na kama unavyojua mimba changa kuishtukia si rahisi kwa mtu mzima so kumbe Dada ndio alilazimisha yule jamaa aje ajitambulishe alipe mahari waowane chap chap kabla ya aibu haijawa kubwa.
Baada ya kupita mwezi kuona kimya ikabidi tuwaulize wakwe mbona kimya hawajarudi kumbe wazee wa watu hawana.shida shida tukaja kuigundua kwa kijana ni Marioo yaani Mishen town kila kitu anamtegemea mama yake na jamaa hakuwa muowaji mean alikuwa na sister kimaslahi vijana walamba lipsi
Basi tukawaambia huku kumbe binti ni mjamzito basi njooni hata kama.mahari haipo njooni tukae wafunge ndoa tu show tutaisimamia sisi kama ni nyumba ya kuishi kila kitu tutawajengea na huyo kijana tutamuwezesha cha muhim hatukaki aibu ya binti kuzalia nyumbani au kuitwa single mother tunaona aibu
Pamoja na kutoa hiyo ofa kijana kaingia mitini
Now mmeona hata mwanamke ukiwa na hela au kwenu mambo safi bado waowaji hakuna,