Motorfire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ingekuwaje..??!!
Mpuuzi mwingine lngawa Demiss hayupo hivyo. Anampinga JPMTangu Jf iondoke hewani jana na kurudi Leo... Watu tumepoteana kabisa... Wengine tuliacha ahadi zetu hewani hewani... Wengine waliacha miTongozo yao hewani hewani... Wengine ndio walikuwa kwenye kuelekezana wakutane wapi katika kusherehekea siku kuu hii adhimu kabisa ya muungano...
Sasa wengi wamejitokeza baada ya jf kurudi hewani lakini SIMUONI NDUGU YANGU Mshana jr.
Mshana jr UPO WAPI JITOKEZE TUKUONE
Muache atoe nyongo.... Hapo amejisikia vizuri sasa... Kwahiyo hakuna haja ya kumjibu ama kumuuliza chochoteNdio nini hii..??!!