Anajiwakilisha yeye mwenyewe na familia yake.Stop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBA
Na isitoshe anaendelea kutuwakilisha huko Taiwan na anakichafua mbaya
Amebadilika ndugu, nafikiri amejifunza kitu pia alikuwa kijana sasa naelekea kuwa mtu mzimaHashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.
Angekuwa na mafanikio hayo, kila mwezi angekuwa anakuja bongo kuuza sura huku akifanya interviews za hapa na pale.
Wakati ule anazuga NBA tulikuwa hatulali, kila siku interviews Clouds mara Judge BSS ya Madam Ritta yumo.
Hashim Thabiti ni Diamond Nyange asiye na cha kuonesha.
So just how rich is Hasheem Thabeet? This outstanding NBA player annual earnings, inclusive of prize money and sponsorships, is estimated to have a current net worth of $8 Million and an annual estimated salary of Under Review.asheem Thabeet Net Worth
| Estimated Net Worth (2019) | $8 Million |
Kwaiyo mkuu, mobeto ndio umemuona bonge la demu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa hela Hana, angekuwa nazo tungemuona yupo na Mobeto mademu wengne type hzo
You know nothing about content creators especially bloggers.So just how rich is Hasheem Thabeet? This outstanding NBA player annual earnings, inclusive of prize money and sponsorships, is estimated to have a current net worth of $8 Million and an annual estimated salary of Under Review.
The Tanzanian athlete’s earnings remain impressive compared to other famous athletes like Thabo Sefolosha and Stephen Curry, who also rank in TheRichestCelebrity.com list.
Let’s give a quick look at his net worth and salary is as follows.
Estimated Net Worth (2019) $8 Million
Wivu tu, huna loloteYou know nothing about content creators especially bloggers.
Hujanielewa , nimemtolea Mobeto kama mfano wa mabinti wapenda show off ....hata hvyo uzuri wa mwanamke upo Kwa mtazamaji cha msingi Tu awe na churaKwaiyo mkuu, mobeto ndio umemuona bonge la demu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kutengeneza simu labda partnership na Mzungu ..... Tutalaumiana tuu , Mbna kitu simple SanaHyo ndio project Tu mlishaanza kuponda
Hyo simu ingetoka mngeanza kuiponda kwa kuilinginisha na simu za ma master wenu
Taiwan uyo kashapotea kwenye rada toka NBA mpka taiwan ndo maana ata yy kakaa kimyaStop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBA
Na isitoshe anaendelea kutuwakilisha huko Taiwan na anakichafua mbaya
Ndio anamalizia career yake huyo kama samata pale uturuki...Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.
bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.
Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.
Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Sasa mtu ni milionea tena tuanze kumuombea awe bilionea tena,, Ujinga huo wakati mm hata kwenye elfunea sipo kabis, ngoja nifike huko nitamwombea,,Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.
bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.
Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.
Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Mkuu wa wilayaa anazidi kunogaa tuuSasa Mdogo wangu Hashim umeamua kujianzishia Uzi sio? Njoo Bongo mademu wako uliokuwa ukitoka nao usiku bado wapo.
Aiseeeee imebaki story ,kwishnei pateli.Kipindi kile yupo NBA Alikuwa akija Tz kila siku yupo redioni na club za usiku kupigana mitama na akina T.I.D