Ndugu yetu?!.

Hawa jamaa sijui wanchotafuta nini, kama wakifanikiwa sijui atakuaje ebu fukiria hiyo breed itakuaje huyo kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri kama binadamu na nguvu kama za sokwe
 
Hawa jamaa sijui wanchotafuta nini, kama wakifanikiwa sijui atakuaje ebu fukiria hiyo breed itakuaje huyo kiumbe mwenye uwezo wa kufikiri kama binadamu na nguvu kama za sokwe
Wanasema Binadamu na Gorilla wakizaa huyo Kiumbe anaitwa "Hurilla".😆
 
Hapo ndo wanasayansi wanatuchanganya!
Wakati binadamu anaaminishwa kwamba zamani walikuwa masokwe
Hata masokwe nao wanaaminishwa kwamba hapo zamani walikuwaga binadamu
 
Mwanadamu mwenye IQ ya 85 anatambulika kama "Zezeta", KoKo the Gorilla aliscore 95 je Magorilla yako Juu ya Mazezeta ya Binadamu?!

Kwa wasiomjua Koko the Gorilla ni huyu Pichani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…