Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao.