Ndugu zangu Chadema Jeshi la Polisi halina siasa, Niffer na Diva wana siku ya pili leo wako lock up, mngekuwa nyie mko Lock Up hadi leo kelele kibao

Ok mmewaweka ndani halafu mkatoa account ya kuchangisha pesa je mnaweza kutoa update mmechangisha kiasi gani?
 
Kumbe mara moja moja dishi likiwa limekaa vizuri ukaachana na ile mistari ya ajabu ajabu unaongeaga point.
 
Kwani wewe mwana CCM jeshi la police ni MALI Yko?
 
Punguza ujinga basi
 
CPA inasema mtuhumiwa akae mahabusu kwa masaa mangapi,stupid
 
Unakatwa na stivu mengele
 
Lengo lako ni lipi hasa
 
Maanina, kwa namna ulivyomalizia imebidi nicheke😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…