Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha upinzani kuna mema mengi unakula bhana, utajiri nje nje.
Kwa sisi ambao tuliwahi kupata japo ukiranja tulipokuwa shule tunajua raha ya uongozi, acheni masikhara nyie, uongozi mtamu.
Yule mwamba pale juu ataongoza mpaka anakufa labda amwachie mtoto wake, kwenye sanduku la kura tutadanganyana. Hata watawala wanampenda, anawasikiliza.