Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ni kweli hilo jimama lenu sijui mshangazi wenu unawaua wazee wa watu kwa kuwashusha kwenye magari mchana kweupe na kusema kifo ni kifo unadhani ni kwanini? Utamu wa madaraka yaani jimama linasikia utamu kinoma yani.Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha upinzani kuna mema mengi unakula bhana, utajiri nje nje.
Kwa sisi ambao tuliwahi kupata japo ukiranja tulipokuwa shule tunajua raha ya uongozi, acheni masikhara nyie, uongozi mtamu.
Yule mwamba pale juu ataongoza mpaka anakufa labda amwachie mtoto wake, kwenye sanduku la kura tutadanganyana. Hata watawala wanampenda, anawasikiliza.
Naunga mkono hojaοΌNi raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha upinzani kuna mema mengi unakula bhana, utajiri nje nje.
Kwa sisi ambao tuliwahi kupata japo ukiranja tulipokuwa shule tunajua raha ya uongozi, acheni masikhara nyie, uongozi mtamu.
Yule mwamba pale juu ataongoza mpaka anakufa labda amwachie mtoto wake, kwenye sanduku la kura tutadanganyana. Hata watawala wanampenda, anawasikiliza.
Iko vile bandugu !Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha upinzani kuna mema mengi unakula bhana, utajiri nje nje.
Kwa sisi ambao tuliwahi kupata japo ukiranja tulipokuwa shule tunajua raha ya uongozi, acheni masikhara nyie, uongozi mtamu.
Yule mwamba pale juu ataongoza mpaka anakufa labda amwachie mtoto wake, kwenye sanduku la kura tutadanganyana. Hata watawala wanampenda, anawasikiliza.
Kwa hiyo mbowe ni KUPE? Tena ni kupe king'ang'aniziNi raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha upinzani kuna mema mengi unakula bhana, utajiri nje nje.
Kwa sisi ambao tuliwahi kupata japo ukiranja tulipokuwa shule tunajua raha ya uongozi, acheni masikhara nyie, uongozi mtamu.
Yule mwamba pale juu ataongoza mpaka anakufa labda amwachie mtoto wake, kwenye sanduku la kura tutadanganyana. Hata watawala wanampenda, anawasikiliza.
Muda umeshaongea, na pia hakuna kuchelewa katika maisha, (it is never too late in life)
Double agent π??! π³Kwa hiyo mbowe ni KUPE? Tena ni kupe king'ang'anizi
Everything is happening for a reason !!Muda umeshaongea, na pia hakuna kuchelewa katika maisha, (it is never too late in life)
Napenda uongozi jumuishi wenyebfikra chanya unao jengabdhanabya umija ni nguvu
And that uncertainty is catalyzed by people, information, and disasterEverything is happening for a reason !!
Mbowe watu tuliambiwa siku nyingi kuwa ni tapeli lakini hatukukubali. Jamaa ni mbaya kuliko hata Magufuli. Halafu ana elements za kutaka madaraka kwa njia yoyote. Huyu huenda hata kuua anaweza kuua ili tu mambo yake yaende.Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha upinzani kuna mema mengi unakula bhana, utajiri nje nje.
Kwa sisi ambao tuliwahi kupata japo ukiranja tulipokuwa shule tunajua raha ya uongozi, acheni masikhara nyie, uongozi mtamu.
Yule mwamba pale juu ataongoza mpaka anakufa labda amwachie mtoto wake, kwenye sanduku la kura tutadanganyana. Hata watawala wanampenda, anawasikiliza.
Correct ! πAnd that uncertainty is catalyzed by people, information, and disaster
People, (normal and smart people)
Disaster,(created by God and that of human)
Information, misinterpretation of Information will cause uncertainty
Pigia mstari mkuuKwa hiyo mbowe ni KUPE? Tena ni kupe king'ang'anizi
Lakini hizi ni fikra mbaya. Alipaswa atawale miaka kumi, awe ameshatengeneza team mpya inayomsikiliza na kumuheshimu. Akikohoa tu anaitikiwa ndiyo mzee.Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?