ndugu zangu MORALI YA CHUO ILIKATIKA SASA IMERUDI TENA.JKT MPAKA 2016

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
vijana wa mujibu wa sheria awamu ya tatu 28 sep 13.
vijana waliochaguliwa kujiunga na jkt awamu ya tatu na pia wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu, ambao wanataka kuahirisha mkataba wa jkt, wanatakiwa kuandika barua makao makuu ya jkt kuomba kuahirisha mkataba wa jkt.
1. barua binafsi ya kuomba kuahirisha mkataba iwe na picha yake.
2. Nakala ya barua ya kuchaguliwa kujiunga na chuo (joining instructions)
3. barua hiyo ieleze kuwa utajiunga na jkt baada ya kuhitimu masomo.
4. Barua zao zifike makao makuu ya jkt kabla ya tarehe 02 oktoba 2013.
angalizo
kujiunga na jkt kwa mujibu wa sheria ni lazima. Hivyo ni wajibu wa kila muhitimu kuhudhuria mafunzo hayo.
tangazo hili limetolewa na
jeshi la kujenga taifa makao maku hakuna jkt tena mpaka tumalize masomo
 
hapo mwakeee,na nikimaliza chuo naenda kujichimbia mtwara,jkt haend m2 hapa.
 
Kwel moral lazima ishuke ila 2016 tehna.!
 
Mkataba tenaaa!!! Dah watu tunakwenda kutafuta mahela baada schooling!!!
 

safi xana but 2016 kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…