Ndugu zangu: Nahitaji kujua kuhusu biashara za Mali Kauli

Tazamamtuhuyu

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
277
Reaction score
90
Nahitaji kujua biashara ambayo hahitaji kuivest Pesa first only uwe na soko au wateja .In short napenda kuzijua biashara za Malikauli please anybody mwenye links au kuzifahamu hizo biashara please anielekeze.
Ahsanteni.
 
Duh ! Hawajakujibu mpaka leo mkuuu ?
 
Ni kuwa mtu anakupa mali wewe unatoa ahadi ya kulipa baada ya muda flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…