Ndugu zangu naomba kusaidiwa kazi ili niweze kujikimu. Napatikana Butiama mkoani Mara

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari wakuu

Najitokeza kuomba ajira yoyote tofauti na professional,nimehitimu shahada ya utawala wa umma( public administration) mwaka 2018 mpaka sasa nimetimiza miaka 6 nipo mtaani

Naomba mwenye nafasi anisaidie,umri wangu miaka 32 napatikana Butiama mkoani Mara.
 
Upo butiama mtaa gani. .?
 
Kaka acha kuhangaika chukua kadi ya ccm, anza kupiga makofi kila jambo la chama.

Utaona maajabu.
 
Habari wakuu

Najitokeza kuomba ajira yoyote tofauti na professional,nimehitimu shahada ya utawala wa umma( public administration) mwaka 2018 mpaka sasa nimetimiza miaka 6 nipo mtaani

Naomba mwenye nafasi anisaidie,umri wangu miaka 32 napatikana Butiama mkoani Mara.
Hizo kozi wanasoma watoto wa viongozi. Wewe nani alikudanganya?
 
Tunafanana kuanzia Mwaka wa kumaliza Chuo mpaka Ujobless. Japo Mim nimehitim Logistics and Transport Management pale NIT. Kila lakheri kwako naamin sasa utapata Kazi
Ww wa logistics ungejitahd kujitutumua kidogo kuomba private sector , has construction mbona chap tu, hujataka tu, labda kuajiriwa. Eacop , sgr na mirad ming ya kimkakati mbona fasta tu au upo abroad.?
 
WhatsApp Image 2024-10-14 at 21.13.32.jpeg
 
Back
Top Bottom