Ndugu zangu naomba msaada anayejua dawa za figo lenye maji

Jof3

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
663
Reaction score
323
Habari zenu. Ndugu zangu naomba msaada anayejua dawa za figo lenye maji na matatizo kwnye kibofu cha mkojo. Ninakojoa damu mkojo wa mwisho na maumivu makali sana. Hospital nilipewa dozi ya dawa hizi
1. Cital
2. Urimax
3. Moxif
baada ya kuisha dozi wiki 2 baadae matatizo yamerudi tena. Msaada wa dawa nikanunue jaman hali ni mbaya.
Natanguliza shukran zangu.
 
MUNGU WA MBINGUNI ATENDE MUUJIZA WAKO SASA. DAMU YA MWANAE YESU KRISTO IKUSAFISHE NA KUKUONDOLEA UGONJWA WAKO. NATANGAZA UPONYAJI KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH. AMINA.
 
Mtafute Daktari bingwa huyu anaitwa octa benn 0716 713701 mwambie nimepewa namba na sill.samahani sipigi debe ni katika kusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…