Ndugu zangu,naomba muniombee duah ndugu yenu,..!

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,037
Reaction score
998
As-salaam ndugu zangu wa jf.
Naamini wote wazima wa afya,mimi huku mzima,hofu kwenu muliombali nami.
Madhumuni ya barua hii ni kuwafahamisha mnamo siku ya jumatatu,tarehe 6 jan 2012 tutaanza rasmi mitihani ya kumaliza semester 1 au UE.Nachukua fursa hii kuwaomba ndugu zangu muniombea DUAH kwa M/MUNGU anifanyie wepesi na ku-avoid SUPU+DISCO za chuoni/MZUMBE.
Wako Mtiifu,
Mr.mzumbe.
Ahsante
 
Soma kwa bidii na sali pia sana na sisi tunakuombea Mungu wetu mwaminifu atakufanikisha. ila usisahau kumshukuru ukifanikiwa
 
Soma kwa bidii na sali pia sana na sisi tunakuombea Mungu wetu mwaminifu atakufanikisha. ila usisahau kumshukuru ukifanikiwa

Ahsante sana ndugu Mzalendo.Mwenyezi Mungu akuzidishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…