Ndugu zangu naomba munipe muongozo, nina pesa 500,000/=, niifanyie nini?

Mzee ahmadi

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Ndugu zangu naomba munipe muongozo, nina pesa 500,000/=, niifanyie nini?

Maisha!
 
Njoo nayo hapa bar tuone kama tunaweza kuinywa kwa siku moja
 
Maisha yamefanyaje tena? Yamekugomea?
 
Kama ni pesa baki tu nakushauri uitafutie kitu kinaitwa passive investment. Passive investment itakuwezesha kupata "return" ambazo si kubwa sana kwa mfano kama pesa ungekuwa nayo kipindi hisa za Swala zinatoka ungeweza kupata share 1,000 (500,000/500 per share) ambapo hivi sasa pesa yako ingekua na thamani ya karibu 2,000,000 (2,000 price per share×1,000).

Unaweza pia ukanunua vipande chini ya mfuko wa UTT lakini narudia tena hii ni kama hautarajii kupata marejesho makubwa sana ndani ya mda mfupi. Bei ya vipande unaweza kuipata kwenye website ya UTT au gazeti kama daily news au the guardian.

Lakini kama wewe ni mtu unayehitaji quick income na pesa yako ikiwa na maana update active investment tunaelekea kipindi cha sikukuu. Biashara ya mavazi na vyakula uwa inapanda sana unaweza kufanya homework yako na kuangalia ni jinsi gani utumie pesa yako kwa fursa hiyo.

Mwisho kabisa unaweza kufanya kukopesha pesa hiyo lakini kuwa mwangalifu sana. Unaweza ukakopesha wafanyabiashara wadogo wadogo kwa siku kwa mfano unampatia pesa asubuhi jioni akimaliza mizunguko yake anakuletea pesa yako.

Ni hayo mawazo yangu tu mkuu. Natumahi utapata la kufanya. The sooner the better, money now is not money tomorrow. Take heed of inflation.
 
Nina imani atafanyia kazi ushauri huu!
 
Back
Top Bottom