Ndugu zangu naomba ushauri

Ndugu zangu naomba ushauri

Peter kenny

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 ila sikufanya vizuri kwa kupata divition four ya 30 yani civ-D geo-D his-D eng- kisw-D math-F bio-F ila kutokana na hali ya kimaisha ya familia siku tafuta chuo chochote ila mwaka jana nikaona vema nirudie mtihani lakini pia mambo yamekuwa mabaya kwani tena imerudi ile ile divition four ya 30 kama ifuatavyo civ-F his-D geo-D eng-F kisw-B math-F bio-F ndugu zangu naomba ushauri wa kimawazo au hata kama naweza kupata chuo chochote tafadhari naombeni msaada wenu AHSANTE.
 
Back
Top Bottom