ndugu zangu naombeni mnisaidie katika hili na ni juu ya matokeo yangu

ndugu zangu naombeni mnisaidie katika hili na ni juu ya matokeo yangu

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
kwanza nashukuru mungu niliyopata,naombeni mnisaidie kunijulisha ni shule gani the best za private au goverment kwenye combination ya HKL,naombeni mnijuze niijue niifanyie mchakato na kuifatilia haraka iwezekanavyo.tafadhalini ndugu zangu naombeni sana.......
 
We ni senetor wa jimbo gan mkuu?
 
The best private schools?
Pitia websites za hizi:
Braeburn second school, iko kisongo arusha.
International School of Tanganyika
International School in Moshi
 
WeWe naye kweli kabisa haujui shule bora za serikali? Je Zile za vipaji maalum? Toa matokeo yako tuone kama yanaweza kukupeleka ktk hizo shule maalum.
 
acha mambo ya ajabu ndugu wewe,maisha haya sio siasa,kama uwezi shauri mtu kaa kimya kuliko kutema pumba
 
Back
Top Bottom