Ndugu zangu naombeni mnisaidie nimepotezana na dada yangu kipenzi. Anaitwa JESCA au YOY

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Nimepotezana nae mwaka 2015,

Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini.

Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto.

Wakati napotezana nae alikuwa na watoto wawili wa kiume.

Mmoja alikuwa akiitwa RUBEN alikuwa na kama miaka 4 na mwengine nimemsahau kwa jina.

Kabila lake ni Mgogo popote alipo mumwambie kaka ako UWESU anakutafuta.
 
Umemsearch Facebook?
 
Ndiyo wale waliokuwa wanaishi nyumba yenye mlango na madirisha?Bombii hii,nyumbi hiii?Pembeni kuna kokliikooo?
 
Ex ....wako si useme tu awesu
......
 
Endelea na mazoez hapo Kairo...suala lako tunamalizana na viongoz wa KMC
 
Wote hamna kwenu ? Kwamba ye aja kumbuka nyumbani kusalimia? Au ndo nyie mnao uza mali za urithi utazani ni zenu mwisho siku mnakua hamna nyumbani
 
Walikua wanaishi wapi?manaa 2015 sio mbali eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…