Ndugu Zangu Naombeni Msaada Wa Kisheria

Ndugu Zangu Naombeni Msaada Wa Kisheria

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Mimi Ni Binti Wa Miaka 20. Nafanya Kazi Katika Kampuni Moja Ya Ulinzi Mwanza. Katika Eneo Langu La Kazi Kuna Jenereta Lilibiwa Lakini Polisi Waliipata Lile Jenereta Na Ofisi Wakalichukua. Lakini Kesi Imeanzwa Kusikilizwa Na Katika Mashahidi Wanne Walioletwa Mahakamani Nimewauliza Aina Ya Jenereta Lililoibiwa Wakasema Hawalijui.

Na Wengine Wamesema Banda La Jenereta Lilifunguliwa Na Wawili Wakasema Limevunjwa. Pia Nilimuuliza Shahidi Kama Walipewa Kibali Cha Kutumia Kidhibiti Na Mahakama Akasema Hawakupewa Kibali Na Mahakama.

Ndugu Zangu Pia Napenda Kujua Certificate Of Seizure Inatakiwa Isainiwe Na Nani Na Nani Na Kwa Waelewa Kutokana Na Maelezo Yangu Hapo Juu Mnaonaje Kesi Hii Je Tapona?
 
Wewe unahusika vipi kwenye hiyo kesi? Ni mtuhumiwa?
 
Back
Top Bottom