Ndugu zangu naombeni tujadili hili

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Nina maswali huwa najiulizaga sana

Inamana hizi banks zetu hanina security ya kutosha? Hasa kwenye kulinda account za wateja wasiwe hacked na wataalamu wa mitandao?

Kwa mfano, imetokea umedondosha wallet yako ina ATM card ndani, na mtu akaiokota akaenda kuifanyia maujanja na kuingia kwenye mtandao wa benki na kuchota hela.

Au hawa wataalamu wa cyber attack wakiwa na account number yako na kwenda kuhack kwenye mtandao wa benki husika na kuchota hela za kutosha.

Au akatokea mjanja akaingia kwenye system ya benki na kuhamisha fedha toka account moja kwenda nyingine?

Maswali:

Kuna sheria ya kumlinda mteja ambae ameibiwa fedha zake hasa bila kujijua? Wana utaratibu gani hasa kwenye kufanya refund? Au kuna utaratibu gani?
 

ndani bank hao hao wataalam wa it ni wezi au mkurugenzi wa bank naye
 
ndani bank hao hao wataalam wa it ni wezi au mkurugenzi wa bank naye

Namaanisha kuwa ikitokea hela zangu zimetokea nje ya uwezo wangu kuna sheria ya kunilinda?

Utaratibu wa benki unakuwaje?

cc
masai dada
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…