Habari Wakuu.!
Naamini ni wazima wa afya
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Ndug zangu Nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lkn mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lkn bado ikawa bado mtoto kupatikana!
Sasa kufikia tar 20/08/2016 tukashauriwa tumuone Dr. Fulan hivi ni mtaalamu wa wanawake na alikuwa amesaidi wengu tu
Tareh hiyo hiyo mke wangu alikuwa kwenye siku zake ndo ilikuwa inaanza alipewa dawa za siku 5 kila mwez atapoingia bleed lkn kuanzia alipoanza kutumia hizi dawa kulikuwa na madiliko ktk mwili wake uke unakuwa na Ute wa kutosha wakati wa kukutana na wife, na Dr kutokana tareh hizo alizoingia Bleed akatueleza kuwa kuanza Tar 01-05/09/2016 tuanze kukutana na mke wangu kwani si siku nzuri za kupata ujauzito
Sasa hapa Naomba wataalamu kuhesabu tarehe za mwanamke kushika Mimba wachukue nafas hasa huu wa siku 28
Kufika tareh 29 au 30/08/2016 nakumbuka nilikutana na mke wangu usiku kwa furaha tu
Lkn kufika tareh 02/9 jioni mke wangu aliniomba ruhusa ya msiban lkn sikumjibu chochote ili badae kidogo niombe chakula ya usiku nikapewa lkn si kwa furaha kiviile kama alinitengea tu nilipomaliza nikampa nibu kuwa hakuna kwenda msiban lkn asubuh aliondoka kienyeji tu na akasafiri akaenda mkoani kwa Hawara yake aliyekuwa anachat naye kwa siri sana
Akaenda akalala naye{inauma} huko jumamos kuamakia jumapil jion ndo akaingia home nilimbana sana aeleze alipokuwa alikataa kusema japo tayar nilishajua kama wiki hivi alikubali baada ya ugomvi mkubwa sana tukasuluhisha nimamsamehe
Lkn baada wiki mbili alikuwa mjamzito lkn aliogopa kusema mojamoja kwangu mpka siku ya 3 ndo kuniambia na mimi nikakataa na kumuuliza hii mimba ya nani? Anajibu yangu nikauliza kwann na kipivip? Ooh yule mwanaume hasimamishi vizur{inauma}
Sikukubali tareh 22/10/2016 tukaenda kuchek ultrasound ili nijue kama inaweza ku-calculate mimba hii ni ya siku ngapi lkn majibu ujauzito ni wa 7weeks na siku kadhaa
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri ujauzito huu ni wa Nani au nifanye Nini?
Nipo njia panda ndugu yenu sina majibu kabisa pls plz
Samahan kama nimechanganya au sijaeleweka sehemu maana natumia simu kuandika
Asante